Saa hii, kuna hatua ya baraza na wewe mwenyewe 2 Mgeni (wageni) na 3 mwanachama (s) ambayo juu ya Hatua.
Mwanachama (wanachama) pamoja na wanachama wa Awqaf. kuona ni nyingine mbunge (s) online na wewe click Kubonyeza Hapa
Tafuta
Lugha
Mabadiliko ya lugha mbalimbali::
Categories Menu
Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.
Sanduku Kuingia
Hawana akaunti bado? Unaweza kujenga mmoja. Kama Mtumiaji aliyesajiliwa unaweza kuwa na baadhi ya faida kama meneja wa mandhari, comments Configuration na maoni post kwa jina yako.
Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanzibar
Hikma
Ya Ruhusa Ya Ukewenza: Umoja wa Kiislamu wa Elimu Uchumi na Maendeleo Zanzibar
Kuna sababu nyingi za kibinafsi, kimaadili, kiuchumi na kijamii zinazoonesha kuwa wakati mwengine kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo lisilobudi.
Kabla ya kulieleza jambo hili ni vyema tukaelewa nini maana hasa ya ndoa (Nikaah) katika Uislam. Ndoa ni mkataba ('Aqd) wa hiari kati ya mume na mke wa kuishi pamoja kwa wema na upendo kufuatana na masharti na taratibu zilizowekwa na sheria ya Kiislam.
Kwani umuhimu wa ndoa kwa mtazamo wa Uislam ni jambo lililokokotezwa sana kutokana na umuhimu wake katika kujenga na kuendeleza jamii. Kama Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Alivyosema katika kitabu Chake kitukufu cha Qur-aan Suratun-Nuur, Aayah ya 32:
Mama…Kisha Mama…Kisha Mama: Ni Mama Yako Ewe Mja Wa Allaah - Waja Wema Na Kuamiliana Kwao Na Mama
Tutakuwa pamoja nanyi tukizungumzia moyo wenye huruma, moyo wenye ulaini, moyo ulio umbiwa huruma. Tutakuwa tukizungumzia moyo ambao umeumbwa siku ulipoumbwa, ukapandikizwa huruma, tutakuwa na moyo wenye kuhurumia hata kama unafanyiwa ukali. Je, mmeufahamu moyo huo? Hakika si mwingine bali moyo huo ni mama.
Tunamzungumzia mama ambaye maadui wa Allaah wamemuwekea siku moja tu na wakaiita "siku ya mama" na hili si katika Uislamu kwa chochote. Uislamu umeamrisha kumfanyia wema mama (kila siku) mwaka mzima.
Huyo ndiye mama enyi waja wa Allaah. Kiumbe ambaye ameendelea kuwa mbele na mshindi daima.
Muftiy al-´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh Mfasiri: Abu Bakr Khatwiyb al-Atrush
Himidi zote zi Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na tunamuomba msamaha na tunatubia Kwake. Na tunajikinga Kwake na shari za nafsi zetu na matendo yetu maovu. Hakika yule Aliyemuongoza Allaah hakuna wa kumpoteza. Na Aliyempoteza hakuna wa kumuongoza. Nashuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allaah wa pekee Asiyekuwa na mshirika. Na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake swalah za salaam zimuendee na ahli zake na Maswahaba wake mpaka siku ya mwisho. Amma ba´ad:
Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema
Baada kukumbushana maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Aayah tukufu iliyotaja sifa kumi njema, tumeona kwamba mwisho kabisa Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema:
Allaah Amejaalia njia ya haki kuwa na ishara za wazi. Na Akajaalia kufikiwa katika lengo linalohitajika kwa juhudi na kujitolea. Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema:
Namshukuru Mwenyezi Mungu, ambae Ametuumba na Akatuweka katika ulimwengu ili tumuabudu Yeye pekee. Na Akatupa miongozo yenye kutuwezesha kuishi katika huu ulimwengu Aliotuumbia. Kisha Akatuletea wajumbe ili watufunze na kutubainishia miongozo hiyo ili tupate kuongoka.
Kumpenda Mtume صلى الله عليه وآله وسلم Ni Kumtii Na Kumfuata
Sifa zote njema anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala), Swalah na salamu zimshukie Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), ahli zake na Maswahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema baada yao mpaka siku ya Malipo.
Nawausia kaka na dada zangu pamoja na kuiusia nafsi yangu katika kumcha na kumpenda Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala).
BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu wa Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa aalihi wa aswhaabihil Kiraam, wa ba’ad,
Mjue Mtume Wako صلى الله عليه وآله وسلم Vizuri Uzidi Kumpenda
Tumeona juhudi nyingi zinazofanywa na makafiri katika nyakati mbalimbali za kumtia kasoro na kumdhalilisha Mtume wetu mpenzi صلى الله عليه وآله وسلم bila shaka Muislamu yeyote anaathirika sana na kupata machungu na maudhi ya kutukanwa kipenzi chetu.
SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz
Imetarjumiwa na Ummu Iyyaad
SWALI: ((Atakayefanya Sunnah njema atapata ujira wake na ujira wa
yule atakayefanya kile kitendo mpaka siku ya Kiyama))
Je, kwanza hii ni Hadithi (Sahihi?)
Pili, kama ni hadithi (Sahihi) je, Mtume صلى الله عليه وسلم aliacha jambo (la Sunnah) kwetu ambalo hakulifanya yeye ili mtu alifanye katika Uislam?? Tunaomba utufahamishe kwa kutufafanulia wazi jambo hili.